[Intro]
Ninapoamka na ndoto ya kesho ya familia
Nzito na maono ya kujenga taratibu zetu
[Verse 1]
Naipambania kesho ya familia yangu, nadondosha jasho nipate posho
Sijali majira, sijali nyakati, sichagui kazi natufuta hela
Naiwaza familia yangu, na majukumu ninayo
Na kila siku, nitafuta kwa bidii bila kukata tamaa
[Chorus]
Natafuta hela, bila kulegea
Nitaendelea mbele hata ukungu wa usiku
Nitaongeza jitalihada nitajaribu mambo yore paka nipate hela.
Nitaenzi heshima yangu, nisiwe omba omba
[Verse 2]
Asubui nitaamuka, wala usiku sitalala
Natafuta hela, mamaa, bila kusita
Nitajitolea kwa nguvu, nibebe mzigo wa ndoto zetu
Mwanzo mdogo sitasema siwe na uthubutu wa kesho kubwa
[Pre-Chorus]
Hapo mbele ni mwanga, huvunja minyororo ya hofu
Maono ya tumaini yanang'aa, ninajua nafika kwa mwendo
[Chorus]
Natafuta hela, bila kulegea
Nitaendelea mbele hata ukungu wa usiku
Nitaongeza jitihada, nitajaribu mambo yore paka nipate hela.
Nitaenzi heshima yangu, nisiwe omba omba
[Bridge]
Mwenzi Mungu nijalie, baraka zako ziende nami
Bariki kazi ya mikono yangu, fanyikisha hatuwa zangu
Niingiapo sokoni na shambani, baraka zako zinifuate
Nakati katika kile utakacho nipa, nami nitakushukuru kwa sadaka
[Chorus]
Natafuta hela, bila kulegea
Nitaendelea mbele hata ukungu wa usiku
Nitaongeza jitihada, nitajaribu mambo yore paka nipate hela
Nitaenzi heshima yangu, nisiwe omba omba
[Outro]
Nipe nguvu na afya nzuri nipambane siku zote
Baraka zako zinitangulie, nitashukuru siku zote