Eeeeeeeh! Oh Oh oh Oh
🎙️ Tangazo
Shalom wapendwa!
Kanisa muji wa makimbilio linakualika kwa upendo kushiriki katika Meza ya Bwana, wakati wa ibada, maombi na uponyaji, wa magonjwa ainayote.njoo na Mungu wetu atakuponya, haijalishi magonjwa gani.
Njoo ukule , uimarishwe katika imani, na upate uponyaji, kutoka kwa Bwana , njoo utumie meza moja na kristo.
📍 Mahali: Kanisa muji wa makimbilio
Usikose! Njoo na familia yako pamoja na marafiki zako. Na yeyote ambaye ana shida. Karibu sana! Mungu akubariki. 🙏ata kuponya