Mi sina uwezo wa gari,sina madorali
Vipi wazazi wako watanikubali
Vipi kama mahari,wakitaka bandari
Hapo ndo nawaza nakesha usiku silali
Nishatia nia matumaini,(mimi nawewe wakufa kuzikana)
Wasije wajanja wakanipiga chini
(Ukaniacha nafsi ikalalama)
Bado nawaza,naogopa sana
Kesho nikikupiteza nitaishije jamaa