My love I sang this song for you ESTHER mimi mwisa akalire Leo kuna kitu nimemiss mpenzi wangu ESTHER, Sio penzi lako, wala Uwepo wako Mana najua upo mbali namimi, Lakini Leo Nimemiss tu sauti yako Esther wangu. Una sauti nzuri ambayo sichoki kuisikia masikioni mwangu, na hasa unapotamka maneno haya, "Nakupenda sana jamani, naomba uwe nami siku zote" Ukweli kam Una Mganga, Basi Mwambie aongeze dawa, mana Sitaki Nichoke Kukupenda, Ninacho hitaji nikupe siku zote za maisha yetu Esther wangu