[Intro]
Kutoka ndani moyoni, Mimi nakupenda
[Verse 1]
Wangu wa dhamani, muda wote nitakulinda
Nikitoka kazani, kwenye kochi wanituliza
Nyongo nimekalia ini, huyu mtoto kanimimina
[Chorus]
Fulsa ya mapenzi, nimejaza nikafunga
Aah nakama n pasenti, mia moja nimegonga
Moyo wangu wa mapenzi, kudanga sijafuzwa
Kupata wewe nikama zawadi, baraka kwa mlezi alokufuda
[Verse 2]
Naaaakupenda
Naaaakupenda
Naaaakupenda
Naaaakupenda
Naaaakupenda
Naaaakupenda
Muda wote natamani, nikae karibu na wewe
Ivi ukilala kifuani, natabasamu kama mbwege
[Bridge]
Kwa tamaa ya upendo, nachukua hatua polepole
Maono ya usiku, yanawaidia siku za mbeleni
[Chorus]
Fulsa ya mapenzi, nimejaza nikafunga
Aah nakama n pasenti, mia moja nimegonga
Moyo wangu wa mapenzi, kudanga sijafuzwa
Kupata wewe nikama zawadi, baraka kwa mlezi alokufuda
[Outro]
Naaaakupenda, na nikutaka milele
Ninapiga hatua kwa moyo wazi, kukukumbuka usiku na mchana