intro/yeyeyeee
Ni wegedesigner on this one
vs1:
uripo nishushaka mbali sanaaa
naonaga sifiki mbaya zaidi ni mekosa lifti sioni GALI Ila ata trafic ya bicycle na tembea tu
Wenda mbele ni tammupa lafiki labda yeye ndiye atanipa sitii da mwendo niongeze iki midi
eg/
iyi safari ya mapenzi
ambaye kama imekuwa chungu naona
mi naye mupenda ASI mami simuobi amesha kula konaaaa
RF/
I'm okay
don't worry about me
najuwa kwamba umeteleza
si binadamu tuna teleza
ooooohhh ×2
vs2:
na vita MAA najiuliza vipi nitakabili
mana Nisha kuwa musafi na ninapo kwenda ni mbaaaali imesha tosha kuludi nyuma mi sifikili
mapenzi mi yame nichosha
eg/
iyi safari ya mapenzi
ambaye kama imekuwa chungu naona
mi naye mupenda ASI mami simuobi amesha kula konaaaa
RF/
I'm okay
don't worry about me
najuwa kwamba umeteleza
si binadamu tuna teleza
ooooohhh ×2