[Intro]
[Verse 1]
La mort frappe encore sur notre porte,
La mort nous vol notre bien aimé.
Les larmes coulent encore sur nos visages, aiooooio ohhhh ohhh. Ça fait mal
Oooh ooooh oooh ça fait mal.
Ameondoka ,amefariki ,hatutamuona tena.
Amelala , shaba , umeenda mapema.
[Verse 2]
Sungerudi tukuone ya mwisho,
Tumebaki nakumbuka za picha mikononi.
Tumeshindwa kuamini tarifa hizi,tunazani ni dondo.
Umelala ,umetoweka , Shaba wetu.
Twasema bye bye , bye bye ,ulale salama.
Byebye, pumzika kwa amani.
[Chorus]
Machozi hayakauki, mioyo inasononeka yoyooo.
[Varia]
Vijana na wazee wanakulilia.
Hata chip chipukizi yakulilia.
[Preamble/Bridge]
Pumzika kwa amani, ulale salama.
[Verse 3]
Shaba Shaba. Umelala.
Familia yote inalia, kanisa letu linalia. Asafu choir inalia, makerubi inalia,Shekinah Gospel Choir ya lia. Chipukizi inalia. Aiyoyoooooo.
Mwalimu Victor naliaaaaa.
Nasina lakusema , ulale salama.
Mbingu za baba zikupokeye Shaba.
Tutakukumbuka daima.
[Outro]