Verse 1
Ata uliposema basi, in your heart haunitaki.
Mapigo ya moyo kwenda kasi, aa unafeli
Niliacha meli nipande basi, dereva moyo anaenda yakizidi ntakushtaki aaah wee tapeli
Bridge
Wahenga walisema zimwi likujualo halikuli likakwisha
Ila kwa huyu siwema, kanimaliza nyama nimebaki mifupa
Na gari akaisusa, sikufika ata sheri nikaishiwa
Moyoni nikajuta kumlipa dalali na chumba sijapata
Chorus
Sitamani