Wapendwa we zangu katika Bwana, nawasalimu katika jina la Yesu.
Pendo lake Mungu Baba , Neema ya Yesu Kristo na Ushirika wa roho mtakatifu, Ukae nanyi.
Twende tuhubiri ,habari njema ya Wokovu
Watu waokoke.
Waje kwa Yesu.
Enyi mawakili wa Bwana , twende tuhubiri.
Wasafiri waenda mbingu, twende tuhubiri.
Muda umefika ,twende tuhubiri.
Aganze ,Baraka ,Njoni
Twende tu tu hubiri.
Francois, Eliya , twende tuhubiri.
David , twende tu hubiri.
Victoire, nami naja ,twende tuhubiri.
Bisimwa change, twende
Twende tuhubiri.
Kina mama mupo?
Twende tuhubiri; Tuliya, Cecile, Cito,njoni twende tuhubiri.
Mireille,Furaha,Ruth njoni ,twende tuhubiri.
Grace ,joyeux ,Rodriguez, twende tuhubiri