Bila wewe Mungu leo nisingekuwa hapa
Nakushuku mungu naiona siku hiii mpyaa
Niwewee tuuu tunamaisha mapyaa
Kuna wengine wapo ma hospitali
Wengine hawana uhai
Wengine wapo mahakamani
Ila mimi nawewe tupo uraiani
Mimi nawewe tupo Duniani
Kwanini tusiseme AHSANTE MUNGU
Asante Mungu
Asante mungu
Asante mungu
Nashukuru kwa mpumzi mpya
Mh Asante muumba
Asante mungu oooh
Aaaaaahhhhh eeeeh mhhhhhhh
Daah nikifikilia Muda huuu kuna mtu anakata roho
Alafu muda huu kuna mtu amepata ajari
Na muda huuu kuna mtu kaacha watoto
Yani kafarikii
Asante mungu
You is everything sir
Thank you for your gift
Kuiona leo Asante mungu