[Intro]
Kwa ndoto na maumivu, tunafika kwenye maneno ya moyo
[Verse 1]
Alinipenda kweli kweli, alifanya sikufeli maswali ya mioyo
Alitokea kwao, akaja kwangu, alipenda kuwa na mimi siku zote
Alinifikisha mbali, oooh, sasa leo ameondoka kwangu
Yapita mwezi, maisha yamemshinda, amekuwa kama kinda badani
Amepigwa na baridi kali, ila mimi niko tofauti na alivyo niacha
[Pre-Chorus]
Ananitamani mpaka udenda unamtoka, amekuwa kama fisii
Oooh, ni zaidi ya msiba kwake, machozi yanajaza ndoo eeeh
[Chorus]
Kwa kweli ametia uruma sana, hakuna haja ya kumsamehe
Ameuponza mwenyewe, oooh amekoma yamemzidia
Alikotoka yamemshinda sasa, ajiwezi
Amekosa hata furaha oooh, anatia uruma
[Verse 2]
Ni story ya kweli, watu wote wanapaswa kujifunza
Limekuwa fundisho kwao, tulieni nyumbani mjenge familia yenu
Muombe mungu awe nguzo kwenu, asanteni
Thanks God to make happy and apologize when we do long
[Bridge]
Yote ni historia ya moyo uliopitia, na sasa tunasimama imara
[Chorus]
Kwa kweli ametia uruma sana, hakuna haja ya kumsamehe
Ameuponza mwenyewe, oooh amekoma yamemzidia
Alikotoka yamemshinda sasa, ajiwezi
Amekosa hata furaha oooh, anatia uruma
[Outro]
Ni story ya kweli, natuwe waangalie muda na hekima
Tuko pamoja katika familia, tunajifunza na kusamehe
"This song is special dedicated to you all"