Yeeee yi yeee ,,oooh yeye ni Ham gift,, chosen Boy oooh, Nimekubali Mungu,,nikazaliwa upya ,, nikaitwa mwana ,, mm niko ibadan, kila Jumapili nalisifu Jina.... x4
Nalisifu jina lake aliyeniumba ,,maana yeye ndiye mwamba,, wangu wa uzima,,
Alitowa mwana wake,, kw ajili ya uduma,,
Iliye amwaminiye awe na uzima,, x2 Ataa museme ng'o ngoooo mm nasema no ,, atamusemee no nooo ,,mm bado nko top..x2
Amenipa sauti, , ya kumusifia ,,, akanipa na uwezo,, wa kutowa mapepo.. namisingi ya dunia,, nitaiyangusha,, kupitia jina lake,, wachawi waokoka,,, sina uwoga maanake,, nimepata uzima ,, na wachawi wa kijiji,, wameniogopa ,, x2. Ata museme ngo ngooo mi nasema no ,,, ata museme no nooo mi bado niko top x2
Nimekubali Mungu,,nikazaliwa upya ,, nikaitwa mwana ,, mm niko ibadan, kila Jumapili nalisifu Jina.... x4