Raa raaa heia ok ok,
Prince khan nayak in this Rapp
Nasikia kule kuna watu ambao hawaja penda michano nyangu, nenda wambiye mi njo Prince super king strong,
Wali enda kwa waganga hakashindwa, kwa sababu mimi si gangiki, wakauliza vipi:
Uyu mchawi ama Wala siyo muganga ni Master king nayak
Nasikia kuna mutu Ana Ji ita DK KODO ZAÏROIS mwambie mi ni super king , I say wanangu muache shobo iyi kwenu ni onyo kama niku chana chana bya maana huu mwaka siyo waku legeya I say pambana pambana maana kesho yako,
Mes amis je vous prie
Stop 🛑 stop 🛑 stop les jeux d'enfants stop stop stop les jeux d'enfants
Nasema wachaaa?
Okay nasikia kule mtaani eti mimi ni zaifu wa ambie huu mwaka Nisha gusa dawa tuachane na hayo, kuna mtu sijuwe lion boy huu mwaka uta funa na muti kwa sababu prince prince khan, your King of new generation I'm here
Mr rapper if classic I do
Afande ready tukuone kama nipo hauko iyi ni kali zaidi ya kali kwa humu Nina mistari kama ya mungu , he hehe he hehe?
Prince khan na watuliza kwa maana mimi ni maji mbele ya moto na pambana nanyi vigagula weye sura mbayaa
Stop 🛑 stop 🛑 stop les jeux d'enfants stop 🛑 stop 🛑 stop les jeux d'enfants nasema wachaaa,
KIBETE I.R, JOHN SON, STRONG BOY, LUCKY BOY, LEBOX ,
This is sound of the king nayak
@nayak prince studio 🎙️