........................................ skizaa........................................yeah......................................Cheki we msupa kuna venye nimekulike na iyo topa we ndio baby gyal, Umebeba mwishoe utalia hii chuma,Aki walai nakwambia utalipuka,ndo maana na feel ndo my forever,Kwa hii gam....e mi ndo ukuwanga champe 💪💪, Utashuka huyu boi amekua naree....,
Yoh baby gyal nakupenda ndio maana mi nimekueka kwenye moyoo...,
My babe gyal nikikukatsia usijam....., Achana na hao najua wanataka kuniambia, do they know we ndio my only dear, Unanifanya hadi gram wananiambia ati mi ndio na washainia ati niawaaribia,Ati madem wao mi ndio wanichinjia,Kama ni gia naongeza hadi mia,hawawezinifikia nikiwa na my only dear,
Yoh baby gyal nakupenda ndio maana nimekuweka here 🤎🫀,mtu akijaribu kukucheza namshenga,ndo maana watu ujitengaaa...,
Baby gyal kama ningekuwa na gari ningekupandisha, nikupeleke nyumbni ni muoneshe my mummy, baby nipemapenzi ya kweli wewe ndio the main ajenda, Baby one day I will make it for u,niamini wewe ndio nitakuoa my forever dear...,
Aha.. iwe usiku au mchana we ndio chaguo yangu,nimikupa moyo wangu,U have teach me mwana mke sio sura tu bali tabia na stara, Babe unajua kunavitu nimemiss from uuuuuu...,nataka niwe na only uuuu...,
Yoh baby gyal nakupenda ndio maana I will call you my forever d.....,my forever..... ever ever......,my forever.... ever ever......................................., yeah........... yeah...........