An-nisasa ewe watu! Mcheni mola wenu mlezi aliye kuumbeni kutoka nafsi moja na kutoka kwake akamuumba mkewe na kutoka kwao wawili akaeneza wanaume wengi na wanawake na mcheni mwenyezi mungu ambaye mnamhitaji,na damu za ukoo. Hakika mwenyezi mungu ana macho juu yenu.