Ni siku nyingine asubuhi naijiandaa kusafiri kwenda mbali na pale nilipo pazoea siku zote maumivu kiasi nawaza jinsi gani wale nilio wapenda wataishi bila mimi nawaza jinsi gani watanikumbuka uwepo wangu kwao nawapenda na wao wananipenda awakuwai kufikilia kutengana na mimi kwa kipindi kirefu au kwa muda daah naumia lakini sina budi kitengana sasa Nilifikilia sana kiasi cha kukosa usingizi usiku mzima najiuliza maswali upande wangu uko niendako kunawakunipokea je je watanipenda kama wanao nipenda uku nitokako
[ safari ooh safari huuu! Safari ndefu sana safari imani si haba kuikubali safari hii inaumiza sana safari nawaacha wapendwa wangu safari ni matumaini kwangu hipo siku nitalejea na furushi lao mkononi mwangu ]
Siwezi kusahau kusali kwa mungu baba anijalie safari njema kwangu na katika safari siko pekeyangu niko na jamaaa zangu naenda mbali masafa marefu safari yangu itachukua kilometa za milaba na maili nyingi sana lakini na amini ipo siku nitalejea nyumbani
Usiwaze sana ndugu yangu katika safari jaribu kuwa na furaha sikiliza nyimbo nzuri zinazoendana na mawimbi yako ukitafuta amani ya moyo mtangulize mungu katika safari yako jua mungu ndio namba moja katika usafiri wako kumbuka pia uendako pia utawakuta watu utawapenda watakupenda pia nao utalazimika kuwaacha kikubwa weka harama nzuri moyoni mwao wakukumbuke kwa wema na baraka kukufuata popote uendako sababu umewaachia alama mioyoni
Asante sana wote mungu awabariki wote mfike salama ameni