Mala Kila nitazamapo picha yako napata maumivuu sana Kila nikitama nyota nakumbuka utamu wa penzi letu zurii zaidi n
Umeniacha na nani mimi mbona umeondoka na furaha yangu umeamua kunituupa
Nakuombea sana kwa mola akupe maisha ya furaha na huyo mpenzi wa Sasa asikuchoke penzi lenu lishamili kama ya kondeni nasema yotee sababu nilikupenda sana wewe furaha yangu ni kukuona tabasamu lako usoni
I wish you good luck and better life to your family thanks God am live Amen