Y a a a a ayeiii eyeiii yei Yei Yeaaaa
This the sound of prince khan virikunzira your King of new generation,
A
Leo nita imba pop ama Rapp Niki wakilisha muziki wetu, kwa maana muziki njo kazi yangu, japo kuna watu hawapendi Mimi ginsi navo chana
mistari kwangu ni kama kunywa maji
, kazi yangu Siku izi ni ma bifu tuu ,kwa sababu ya misemo yenu mbayaa
Leo nawaletea iyi freestyle Muji someye,
Champion,,,,,, Champion 🏆, champion I say champion, eyeiii yei Yei Yeaaaa
Eyeiii yei Yei Yeaaaa
Nilipo anja muziki mulisema, sito weza, tazama sasa, ginsi na wa rusha kama upepo, hu muziki hakuna anae ujuwa, Ila tuna ji tuma tuone kama tuta fika, I say champion if you're champion na Wewe tuoneshe usudja wako ili tu amini,
Wengi Wana ni ita king of new generation, prince khan virikunzira Nita baki kwenye historia ya muziki, I say?
Champion, Champion Champion I say champion eyeiii yei Yei Yeaaaa
Champion, Champion, Champion 🏆 I say champion eyeiii yei Yei Yeaaaa
LEBOX, SAGE KIBETE L'INGÉNIEUR,
Ah, JOHN SON,
KISHARO MY VILLAGE,
PAPA et MAMAN,
KING NAYAK ON THE TRACK
Prince khan virikunzira studio, beats King 👑 on the beats , track