Era wanasema inapita era hazipiti
Ukiona mtu anasema ela inapita azijapitia kwake
Mtu anapita lakini era haipiti era inabaki duniani
Akisha pata ela awezi kusema inapita
Watu wengi wamekufa kwa sababu hawana pesa
Walitakiwa waishi... adisaivi huwezi ishi bila pesa
Ukitaka kuishi bila pesa kaa kwenu wakuree pesa
Ndo kila kitu mambo ya jabu yanatokea kwa sababu ya pesa
Pesa inaongea bila maneno ni vitendo
Huwezi mkuta tajiri na gari lake kila buni
Anakunywa pombe anakunywa vitu nvaaazi yake tajiri analala na pesa inaingia
Masikini akilala wiki moja natafuta pakufia
follow subscribe na usisaau ku share iakaunti itakusaidia kimaisha Asante sana mashabik