Ilikuwa jioni muda wa saa mbilii nikamuomba mungu usikuu huo nikalala dakika kumi sio nyingi nikaota Niko karibu na jangwa nikapiga hatua mbilii tatu nikachoka sana sikuweza kusogea tena mbele nikalia kwa uchunguu sanaaa nilikuwa nimechokaa sana pia maumivu makali sana
Muda ukaenda siku zikapita miaka ikasogea akuna wa kuniokoa nimekwa na miaka elf Moja sasa sioni tumaini sikuweza hata kuinua mdomo wangu wala hata mikono yangu
Ndipo akapita msamalia akaniokota akanipeleka kwake akanibadilisha kiukweli kwa wakati ule sikuwa nafaa kabisa nilikuwa kama jini nywele ndefu zimechaakaa pia kucha na nguo azieleweki muda ukapita nikapata nafuu
Nilipofumbua macho kutazama alikuwa mtoto mzuri kama malaika mpaka nilitamani kumshika macho yake nikama ananiita uzuri wake ulinifanya nikasita akaniambia pole kwa yaliyo kukuta ila mimi ndie nilie kuokota nikamwambia mama Asante kwa huu wema wako
Akika alinipenda nami nikampemda alinipa mapenzi ya kweli mpaka nikasaahu nilikotoka akanipeleka kwao nyumba wazazi wake wakakanipokea kwa mikono miwili wakanikabidhi mtoto Yuko mikononi mwako Sasa ondoka mkatengeneze maisha katikati ya safari ndoto ikatika
Nikajuliza naludije kumuita na kama nikilala si nitachelewa shule maneno akika yalikuwa ya kunifaliji ila fikra zangu namuwazia mtoto nitampata wapi jamanii hiii ni ndoto tu mwambie mwenzio kama umependaa hii nyimbo
Thanky