Mwanzo wajaribu zangu nilikua nikifanya uchuruzi zangu ndogo baadae nilipokua njiani nikakutana nawa jambazi wakanipora vyote nikalia Sana sikupata musaada wajomba zangu nao wamenijaza laumu shangazi nilie muegemea nae amenifukuzaa ila nainuwa macho yangu juu kwa muumba alie hai najua hili lina mlango yakutokea nahata nikifa nife katika kristo unisaidie baba unipe mwisho mzuri nimimi mwanao Alain Kelvin