OK yeee, yeee mimi valery le king. “Wuniatshie Ni furayi . (Rock star made it)
Yeeeh eh eh…
Valery le king on the vibe…
Amapiano baby…
Wuniatshie ni lewe… furayi na ba chéri…
Couplet 1
Nikiwa nawe moyo yangu ina waka moto
Usiku wa Kinshasa tunacheza pole pole toto
Nyingari na rho hawawezi kututenga
Mapenzi yetu baby hakuna wa kuvunja
Unanikamata mikono, twende malembe
Ba chéri wana tala lakini sisi malembe
Furayi na wewe mpaka asubuhi
Mapenzi ya kweli hakuna mchezo huku
Pré-refrain
Baby malembe… malembe…
Twende na vibe ya amapiano eh eh
Lewe ni yetu usiku mzima
Tukicheza chini ya mwangaza wa mwezi
Refrain
Wuniatshie ni leweee 🎶
Furayi na ba chéri malembe
Apart nyingari na rhooo
Hakuna mutu atatutenganisha
Wuniatshie ni leweee
Baby dance na mimi closer
Amapiano mpaka asubuhi
Tukizunguka na mapenzi motooo
Beat switch / Dance part
Aya aya ayaaaa
Shake it malembe mama
DJ panda volume juu
Ba chéri wana furahi sana
Tikisa kiuno low low
Mapenzi moto slow slow
Nikiwa nawe baby girl
Naskia kama ndoto oh oh
Couplet 2
Ok ni valery ; Tukitembea mjini watu wanaangalia
Style yako baby wote wanakubaliyaa
Unacheka kidogo moyo yangu inalewa
Nikikusikia karibu napata furaha
Nyingari waache maneno zao
Sisi tunadance mpaka kesho
Rho akija tunasema no no
Mapenzi yetu iko strong oh oh
Outro
Wuniatshie ni lewe…
Furayi na ba chéri…
Valery le king…
Amapiano to the world… 🎹🔥 yeee yeee djimilest titiiii, Valery le king. OK yeee, maman Thérèse yombo, Mélissa yombo, Bic boss le grand savant, John djemss afro auficiel, Patrick kantshiama. Yeee.