[Intro]
Lendason…
Hii ni kwa familia ya Ezekiel…
Maombi yetu, maisha yetu, mapenzi yetu…
Hii ni hadithi ya familia, usikie moyo wako…
[Verse 1]
Naona giza!
Sipati maono!
Nini kinafata mbelee juu ya maisha tunayo yaishiiiiiiiiiiii
Hakuna afuweni ya maisha
Kadri siku zisongapo
Ugumu wa maisha ndio unaongezekaaaaa!
Sina mali, sina nyumba wala mifugo
Kwamba siku nikifaa
Watoto wangu nitawaachia ninii
🎶
[Pre-Chorus]
Hata nisipokufa mapema uzee utanitesa,
Eze atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa kijana?
Rehema atauliza
Revina atauliza pia
Zarmili atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa unanguvu za ujana
[Chorus]
Hata nisipokufa mapema uzee utanitesa,
Eze atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa kijana?
Rehema atauliza
Revina atauliza pia
Zarmili atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa unanguvu za ujana
[Verse 2]
Jibu ni kwamba kuwa utayaona wananguuu
Umri unakwenda na safari ya kulisogelea kaburi inapungua iko karibu
Eemungu mgawa liziki kwa woote
Haya ni maombi yangu
Nipe na mimi, nikumbuke na Mimi kama wengine
Ninafanya kazi za halali
Sijazulumu mtuuuu eeemunguuu
[Bridge]
Moyo unatazama juu, Mungu wetu wa rehema, tunamuamini kila siku
Aina ya faraja itafungua njia ya ndani
[Chorus]
Hata nisipokufa mapema uzee utanitesa,
Eze atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa kijana?
Rehema atauliza
Revina atauliza pia
Zarmili atauliza nini ulifanya baba ulipokuwa unanguvu za ujana
[Outro]
Amani itarudi, familia itakua imara, na matumaini ya kesho yatamuinua kila nafsi.