[Intro]
P faridi Alamry WETE City, mkowani city twasimama kwa moyo mmoja
Finali ya mapinduzi, leo tuko tayari kushangilia
[Verse 1]
WETE CITY vs Mkowani City, ilikuwa pambano la nguvu
Leo tuna furaha na sapoti, kila kona ya dunia inatusikia
Coach wetu Juma Miti, Gabsii, Abduli yupo pamoja
Kwa umoja wetu hoja ni moja, ushindi ni moja coach wetu abubakar mshabah Salma Suleiman said Muhammed daud
[Chorus]
Kwa moyo, tuko pamoja, tunashinda
Kwa pamoja pemba na mashabiki, tunarudi na ushindi Pemba mapinduzi cup
WETE City, tupo, nguvu ya umoja inawaka Kwa pamoja basketball basketball
[Verse 2]
Cheza kwa bidii, Ibrahim Don Kheir, Fazil Famo, Hamid Hamso
Abdylatif idrisa fazil hemed Khalid maboyka wapo Kwa moyo wa timu hii
WETE CITY basketball na wachezaji wenzetu wanapeperusha
Pemba salu balala inapendeza, tuki cheza final, tutaonesha nguvu ya mapinduzi
[Chorus]
Kwa moyo, tuko pamoja, tunashinda
Kwa pemba na mashabiki, tunarudi na ushindi
WETE City, tupo, nguvu ya umoja inawaka
[Outro]
Kwa pamoja, WETE City, tuimbe ushindi