[Intro]
juu ya mulima beghu, radio nuru ime shimikwa
Nuru FM, redio ya matumaini, Redio ya ufungulivu
[Verse 1]
Mahubiri ya nabii Mulindwa Jules na nyimbo za injili zinazidi kuita kupona kwako ni leo kuzala kwa ni leo vilivyo ibwa vimepatikana
[Chorus] Nuru FM , leta raha, nuru FM
Leta raha, radio uipendayo
Nuru FM kila siku ni furaha ya kweli
Leta raha, wateule wote tunashangilia( crie de joie)
[Verse 2]
Utasikia mahubiri , ushuhuda mbali mbali, walio pona wakitoa shukurani
kilio kinageuka kelele za shangwe hii mwaka unaenda CHEKA WEWE
Kwetu NZIAPANDA, kila siku ni raha na raha yangu Nuru FM ilipo fika ndani ya Muji wetu
DJ Prince, leta raha
,mutume Elizé na maman furaha leta raha,
[Bridge]
Ukifuata nuru, FM lazima usikie, roho inaegemea mwanga
Nyimbo nzuri za injili, mwangaza wa dunia unawaka
[Chorus]
Nuru FM , leta raha, nuru FM
Leta raha, radio uipendayo
Nuru FM kila siku ni furaha ya kweli
Leta raha, wateule wote tunashangilia( crie de joie)
[Verse 2]
[Outro]
nziapanda na kando kando , tumefunguliwa
Tuweke maji kwenye redio wakati wa maombi ya nabii
Maji ya uponyaji wengine Wana iita maji ya sauvetage
Tufurahi katika nyimbo naye DJ Presse moutoukoufou