[Intro]
[Douce mélodie genre gospel]
[Verse 1]
[male tenor vocals enter]
Yuliyoyafanya maishani
Nimeyaona kwa macho
Kwa nini nisikuinue Bwana
Vita vyangu umevipiga
Sasa mimi ni mshindi
Yote ni kwa neema tu
[Chorus]
(Mmmh)
(Lalala)
Sina uwezo wa kuyashinda
Haya vita
Nategemea msalaba wako Bwana
Nipitapo bondeni mwa kivuli cha mauti
Sina uoga kwani neema yako inanitangulia
[Bridge]
Neema
Neema yako
Neema yako inanitosha eeh Bwana
(Mmmh)
Neema
Neema yako
Neema yako inanitosha eeh Bwana
(Nanananana)
Neema ee neema yako
(Ooh)
Inanitosha mimi
(Ee neema ee neema)
Inanitosha eeh Bwana
[Outro]