Intro/ tutuu yeeee shiii
Wegedesigner on this one
Vs1:
Ooohhh anaweza uuuuhhh
Nime beba uzito wasiku zisizo na nulu ndoto zangu ziritekwa naupepo wauzuni Ware niro wa amini warigeuka kivuli baba macho yangu hivi tu ni kwakooo nikumbuke usiku chozi la dondoka hadi nasahau kesho this strong last God is light my story
Eeeh
Eg/
Katika shida yupo nawe eeeh eeeeh
Tumaini lako weka kwake eeeh eeeeh
RF/
Oooh
Anaweza akisema hakuna wakupinga hakuna
Oooh
Usijari mateso haya
Hipo Siku utavyutwa machozi we pamba
God his light my story eeeh
God his light my story
Eeeh
Vs2:
Usi mudhau masikini hujuwi kesho yake nisili ya mungu mbegu huzikwa chini kabla haija Lea eeeh
Aliye ju haweza shuka haliye chini naye kupanda nisili yake wa mille eeeh
Eg/
Katika shida yupo nawe eeeh eeeeh
Tumaini lako weka kwake eeeh eeeeh
RF/
Oooh
Anaweza akisema hakuna wakupinga hakuna
Oooh
Usijari mateso haya
Hipo Siku utavyutwa machozi we pamba
God his light my story eeeh
God his light my story
Eeeh
God his light my story his light my story