Karibu Raphaël, mtoto wa baraka,
Karibu duniani kwa furaha tele.
Mungu akulinde katika maisha yako,asante mungu kwa mtoto huyu Raphaël
Uwe nuru na tumaini la familia.
Mimi baba SENGI Jackson n'a mama yako Julienne uwera tuna kukaribisha katika jamaa ya bahati bijinguru kwani wewe ni kifunguwa tumbo ya maman Julienne
Leo ni siku ya shangwe na furaha,
Tumempokea Raphaël kwa upendo mwingi.
Ameletwa na Mungu kwa neema yake,
Awe na afya, amani na mafanikio.
Umeona juwa tarehe saba mwezi wa sita mwaka wa 2026
Mzee kasongo bahati n'a hakizimana ndarihobeye ndiyo wa zée wangu inabidi siku ukikuwa uwaheshimu sana tena sana zaidi×2
Karibu Raphaël, mtoto wa baraka,
Karibu duniani kwa furaha tele.
Mungu akulinde katika maisha yako,
Uwe nuru na tumaini la familia.
Baba yako anafurahi sana,
Mama yako amejaa tabasamu.
Ndugu na jamaa wanakushangilia,mariro furaha dorika anafurahi
Kwa sababu amepata mjukuu wewe ni zawadi ya thamani.
Beti 3:
Ukue katika hekima na upendo,
Uongozwe na Mungu kila siku.
Maisha yako yajazwe na baraka,
Mwisho:
Karibu Raphaël, mtoto mpendwa,
Familia yote n'a marafiki bakukaribisha.
Mungu akulinde leo na milele,
(Mwanangu Raphaël mimi baba yako n'a mamako sengi jackson n'a uwera hakizimana julienne tunakupenda sana tena sana)(×4). Tate yako mariro furaha n'a shangazi yako vumilia n'a mwamini estha wakukaribisha sana ×2
Matumaini Daniel n'a espoir hashakimana Pia Justin buchike pia innocent ntamahungiro n'a Ibrahimu ntamahungiro wakukaribisha katika familia×3 Karibu sana mtoto wangu Raphaël ngendahimana twakupenda sana ×4