Mistari kali inakaa luku kali ,,warembo wakiniona wananiitia makali,,, ndani doba nmecome na mcee jemoh,,selector ni ruby. Ndan baze kumewaka,,X2
Geuka x2 kaa konokono,, inaama kidogo tingiza kile umepewa.
Ikikubamba basi weka shida chini , dance flow tunabadilisha dini x3
Ameniblesss,, ameniweka high ,, adi rapper zangu zote ziko best ,,040 mm najuwa niko top ,, nazinguwa na mistari yangu kali , adi wengine wananiita m n ai,, mm ni nyani narap kama Enga,, kiupole mimi nawakilisha md ,,Busia boder mm natesa adi kwale ..nikipita wananiita wee mubabas. Life ni 5t wew tafuta kwanza ganji..ukishapata utakuwa na la kusema
Ukinibeba ndani roho mm siogopi ,, chini ya waba ninakula adi under age.. misiogopi watume mm siogopi ,,ndani ya keja wananiita mweshimiwa.kina brayo sikuizi wameniogopa ,,nikipita wanalia nimepita ,, madem wao mii nakula kwanza nao... sitambui kienyeji ama colour ,,, 040 kuingia na kutoka , kijana wao wananiita blog dealer .. mistari sio chocha mm natema,, adi ssaru wa manyaru mm namtaka... na ki2 fitu lazma itakemewa,
kijana mdogo nimekuja na madini ,,njia yoyote mm siogopi ninapita ,, na mahetas nyny mbaki mkibonga ... life yangu mm mwenyewe naimanage,, ..040 ndo home kama vako ,napenda kutembea nikigotea mabeshte ,,nafika home nimetambuwa wanangu ,, na consider ngoma kali kila siku kwa wanangu , ni k2 safi lazma hii itatesa, ni hum gift, kijana wa wanyumbani ,