[Intro]
Ninakuabudu, Yesu
[Verse]
Ninakuabudu, nani mimi bila wewe Yesu
Tawala moyo wangu, nipa neema yako
[Chorus]
Wewe unisaidie, Yesu, niwe na imani
Pokea ombi langu, pokea moyo wangu
[Verse 2]
Ninaomba usikie ndani ya roho
Wewe ni mwangaza wangu katika mateso
[Chorus]
Wewe unisaidie, Yesu, niwe na imani
Pokea ombi langu, pokea moyo wangu
[Outro]
Amina, Yesu, nakusubiri mimi Tito nyakunga nikiwa hapa ikana TNG RECORD STUDIO