[Intro]
Haya, Bwana, sikiliza maneno ya mioyo yetu
[Verse 1]
Wakumbuke wapambanaji wa maisha, wadondoshapo jasho lao
Uwape chakula chao, usiwanyime rithiki zao kila hatua
Kila jasho lilondo, na kila hatuwa waifanyayo
Usipite bure, ubariki mikono yao kwa upendo mkuu
[Chorus]
Wakumbuke wauza maji, usiwapite walimaji
Uwatazame wauza mandazi, uwape rirhiki yao
Kila jasho linalo dondoka, kila hatuwa ichukuliwayo
Uwanyang’anye njaa na kuonyesha mwanga wa maisha
[Verse 2]
Wakumbuke washaji wa mavazi, usiwapite made madereva wa magari
Mabodada nao usiwapi, hata hajengaji wa manyumba
Wauzaji wa matunda wakumbuke, kila siku wanafanya juhudi
Kila jasho linalo dondoka, na kila hatuwa uchukuliwayo
Uwape chakula Chao, uwaniepushe na njaa ya siku
[Bridge]
Wapita kwenye jua kali, hata katika baridi na mvua
Wako tayari kuhatarisha maisha yao, ilikuipigania kesho yao
Ma producers hawalali usingizi, na walinzi wana linda zao zao
Wapigania kesho yao, eh Bwana, uwape Rithiki zao
[Chorus]
Wakumbuke wauza maji, usiwapite walimaji
Uwatazame wauza mandazi, uwape rirhiki yao
Kila jasho linalo dondoka, kila hatuwa ichukuliwayo
Uwanyang’anye njaa na kuonyesha mwanga wa maisha
[Outro]
Wakumbuke Yesu, wakumbuke Yehova
Watafuta uwape rithiki yao, kwa hekima na huruma
Amina, amina, Bwana atawapigania