Eh eh… Jay La Mélo…
Koko beat…
Couplet 1 :
Nilikuamini moyo wote
Lakini sasa naumia ndani
Uliniambia ni milele
Leo umeniacha peke yangu
Nalia usiku, nalia mchana
Mapenzi yako yamenichoma
Sikujua unge badilika
Umeniacha na maumivu
Refrain :
Mapenzi umeniumiza ro
Nalia moyo wangu oh
Mapenzi umeniumiza ro
Sijui tena nakwenda wapi
Mapenzi umeniumiza ro
Uliniacha bila neno
Mapenzi umeniumiza ro
Nabaki na machozi tu
Couplet 2 :
Nilipenda bila masharti
Nikakupa kila kitu
Lakini ulivunja moyo
Sasa sina hata nguvu
Marafiki wanasema
Nisahau nianze upya
Lakini moyo wangu bado
Unakuita kila saa
Refrain :
Mapenzi umeniumiza ro
Nalia moyo wangu oh
Mapenzi umeniumiza ro
Sijui tena nakwenda wapi
Pont :
Pole moyo wangu pole
Mapenzi siyo mchezo
Siku moja nitapona
Nitapenda tena
Refrain final :
Mapenzi umeniumiza ro
Lakini nitasimama
Mapenzi umeniumiza ro
Sasa naanza upya