[Intro]
Najua unalia ndani ya mioyo yetu, lakini tutakwa na tumaini.
[Verse 1]
Neeenda salama, eeeeh nenda salama, wajuku wako tutakumissi sana
Machozi yametuzidi wingi, babu nenda salama, tutakukumbuka daima
Neeenda salama, eeeeh nenda salama, wajuku wako tumelia sana
Babu leo umetuwacha, nenda salama, tutalilia pamoja, milele tunakumbuka
[Chorus]
Neeeenda salama, oooh nenda salama
Neeeenda salama, uuuh nenda salama
[Verse 2]
Umefanya nyanya amebaki mpweke, mjane anahurumisha, oooh nenda salama
Watoto wako, wajuku wako pamoja na vituku wako, tulia tumempoteza simba
Ulie bakia pekee kwenye familia, babu Nikolasi nenda salama
Tutatakumbuka kwamba ulikuwepo, uuuuh, tutakumbuka apaka vitendo zako yeyiye heee
Tutatakumbuka sana kanisa lako la neno, ooooh, nenda salama eeeeh
[Bridge]
Rukia, shakila, sinitia wote wanalia
Obaba imwakisi gayi naye analia, eeeh
Hata jana nilimwona masita naye analia, joshuwa eeeh
Eeee babu umetuuma sana, eee
[Chorus]
Neeeenda salama, heee nenda salama babu
Neeenda salama, babu yetu fika binguni salama
Neeeenda salama,wew neeeenda salama babu yeeeh nenda salama
[Outro]
Tutaendelea kuimba, ukiwa mbinguni, salama daima; tutakukumbuka daima, nenda salama.