DANIELLA wangu wewe ni wangu tena kiume changu
sina mwengine zaidi yako mimi ni wako oo
moya wangu emeisha kubali yakwamba ume ni faaa
mimi Niko wewe ni wangu wa Siku zoteee
tulipo anza Mimi na wewe ulikuwa kama utani
pole pole ki maskani nalikapata samani
number moja WA maishani niku linganishe na Nani
we Ni beautiful my wandaful Nita kufa kwajili yako wata ni UWA bure