[Intro] bishoke zabron,,
Masela tuna vibe vanji vandizimiya
[Verse 1]
Wetu ma bad man navapali wanaman
[Pre-Chorus]
Kwa mbali tunasikia sauti zetu zikisukuma anga
Tunashikamana, hakuna kusita
[Chorus]
Tuna vibe, tuko pamoja, tunacheza
Sauti zetu zinapita, zinawasha taa
Maisha ni hadithi tunawasha Moto fg
Tunapiga nhymbo atali
[Verse 2]
Katika wetu atali bado munatusoma
[Bridge]
Ikiva kenga music tela Bai wetu ni vene ma docter
[Chorus]
Masela Tuna vibe, Vanji vandizimiya
[Outro]
Masela, hastizzo,hox, wanaman, kimwaga uledi wavipeda, Barra wanaman,timbarlende,dogo makai