Killer on the line
Mmmh mmmh
Naona mwanga,
Na giza latoweka mbele yangu,
Jua naangaza,
Mimi nikiwa mbele yako
Ukweli kutoka moyo,
Wewe nakupenda sana,
Na usichoke kuniona
Sababu me nakujali sana,
Hata wakisema mimi ni mjinga,
Kwa sababu ya pendo lako mama,
Love you you you
I miss you, nataka kukuona
Ukiwa mbele ya uso wangu
I need you wanipa furahaaaaa
Ooooh ooooh
Usiku umeingia,
Nakutafta wewe uko wapi,
Pekee yangu me siwezi,,
Nahitaji kuwa nawe,,
Nimemisi halufu yako,
Na moyo wangu wakuita njoo baby,,
Njoo baby njoo unikumbate,,
Love you you you
I miss you, nataka kukuona,
Ukiwa mbele ya uso wangu,
I need you wanipa furahaaaaa
Kama mapenzi kikohozi,
me ni mgonjwa kwako wewe,,
Bila wewe mimi siwezi,,
Nafurahi kuwa na wewe,,,
Ooooh baby baby, nakupenda
Love you you you ,
I miss you, nataka kukuona ,
Ukiwa mbele ya uso wangu,
I need you, wanipa furahaaaaa,
Afredzzy KRM
Mapenzi hisia baby