Mmmmmh mh
Adadone na hii tena
Eti siwalisema hatutafika mbaali
Kumbe walitwanga maji mchana jua kaali
Mmh we ndo kioo changu mi najitazamaa
Kwa jinsi navyo kupenda Mi nishazamaa
Nishazamaa aah
Ebo!
Hiko kishepu sasa
Wema sepetu
Mi napenda jinsi we unavyo kata
Ntakupeleka kwa mama
Kule kwetu
Mi mpishi jiko ndo nimeshapata
Yei yei ye mmh
Kaunyama(uuh uuh)
Kaunyama(uuh Yee)
Kaunyama (uuh uuh)
Kaunyama,(uuh Yee we)
kaunyama
Jinsi unavyo fanya we Yani ka u nya ma
Ebo!
Hiko kishepu sasa
Wema sepetu
Mi napenda jinsi we unavyo kata
Nitakupeleka kwa mama
Kule kwetu
Fredy makunja, rozaria
Landa boy na mwamba Jodi
Wakuone heeeei
Adadone