[Intro]
P faridi Alamry Mwanga wa moyo, Una una kuangaza wewe uli wa mdomo wangu Una kuambia wewe wimbo huu
Kwa ajili yako na imba
[Verse 1]
Faridi Alamry, nasema wewe ulizaliwa kwa ajili yangu
Amina, wewe ni zawadi, kwangu wewe ni mzuri
Wewe ni mrembo, wewe ni malkia wangu
[Chorus]
Amina nakupenda sana
Maisha yangu ni yako
Wewe ni roho ya furaha yangu
[Verse 2]
Raha za maisha yangu, Amina nakupenda sana
Kila pumzi ninafikiria kukushika kwa upendo
Tukishikamana, milele tutaendelea pamoja
[Chorus]
Amina nakupenda sana
Maisha yangu ni yako
Wewe ni roho ya furaha yangu
[Outro]
Ninakupa upendo wa maisha yangu WETE CITY MEDIA for pemba respect Sana Mr p