(Verse 1)
Chakutumaini sina
Ila damu yake Yesu,
Sina wema wa kutosha
Dhambi zangu kuziosha
(Chorus)
Kwake Yesu na simama,
Ndiye mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama
(Verse 2)
Njia yangu iwe ndefu
Yeye hunipa wokuvu
Mawimbi yakinipiga
Nguvu zake ndiyo nanga
(Chorus)
Kwake Yesu na simama
Ndiye mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama
(Bridge)
Damu yake na sadaka
Natengemea daima ,
Yote chini yakiisha
Mwokozi atanitosha
(Chorus)
Kwake Yesu na simama
Ndiye mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama