Jack money
Machozi yashashindwa katika,
Twakumiss mbona mapema,
Umetanguliya umeondoka,
Kwakuambiya ulale mahali pema,
Kifo ninjiya yetu sote,BayBay tutaonanaka
Mana kifo Kiko popote,kesho tutakukuta kwamazuri yakoyote,usijali tutakumbuka
Picha zako zipitepite,kilafasikwenyeukuta
Nikikumbuka michezo, tukifurai, nakuchekacheka(moyo Inauma).
Kifo ndiyo chanzo, bayi bayi,
Tutaonananaka(moyo inauma).
Nikumbuka michezo, tukifurai,
Nakuchekacheka(moyo inauma)
Kofi ndiyo chanson, bayi bayi,
Tutaonanaka(moyo inauma)
Moyo inauma, moyo inauma ,moyo inauma, moyo inauma
Kweli umeamuwa utuache, najuwasiyo kupenda kwako, munguametaka uondoke
Machozi haikatiki mumacho
Duniyaninjiya sisi wanadamu(wapita njiya)
Kamahauyaelewa anza jieshimu( wapitanjiya)
Duniya ni njia Sisi Wanadamu(wapita njiya)
Piganisha tu magumu Sisi ni(wapita njiya)
Aaaaaah my name is Jacque money
Aaaaaah minova drc number one