Ohhh Hallelujah ALLIANCE DEL'OR, AMBASSADEUR sayuni kabulungu CASK
Verset 1: kanisa la 8ème CEPAC KABULUNGU kupitia chorale ambassadeur sayuni kabulungu CASK tuna Ku alika kuhuzuria MUKUTANO yanyimbo hii Siku ya MUNGU tarehe 12/7 2026 pasaa sita 12h,
BARAKA kama nvuwa, neema kwawote.
Usipitwe -baba usipitwe mama Kaka usipitwe naweye dada yangu Mungu ana kupenda Siri yetu ni Maombi inayo toka katika nyimbo za utukufu.
Ninajuwa umeisha sikiya mengi saana kuhusu yesu Christo lakini nawala kuna Siku mbele Yako muhimu kwaajili Yako Nami neema kwawote imefunguka mlango wazi, waalikwa wengi ALLIANCE DEL'OR AMBASSADEUR sayuni kabulungu CASK tuna Ku hakikishia kuwa hauta jutiya fika ujioneye makuu ya MUNGU tarehe hiyo uweza mamlaka, ishara zitafwatana nakila aaminiye ukitaka uliza hâta muteule-chrispin alliance del'or, Espoir mugisho, mana wameamuwa kushiriki MUKUTANO, israël ciza ao basi filemon masirika ata kuambiya kwani nae kumbe yuko nyuma ya mupango hii,
Unabisha Nini Wakati hâta watumishi wa MUNGU KUMBUKA KAMA rév pasteur Emanuel kazige n'a pasteur Maombi wata kuwa n'a yesu Christo atakuwa pamoja n'a Mungu baba ya woooote Katia yetu.yeye akiye nasikiyo asikiye. alliance del'or naimba Niki amini Niki juwa kuwa ni Ahadi za MUNGU USIACE NDUGU YAKO kusudi nae ashuhudiye