Brayoo edition
Mapresenter mna pigo za kisenge
Hamnitishi nawachana mpende msipende
Na kama ni bure nigga mtanyonya ma*e*de
Sifagilii bushi nigga nafagilia skanka
Beach nalotoka nigga nimelelewa na ma gangster
Karibu street beach la ma gangster (×2)
Eeyeeh street
Oya hii ndii code ya street
Street oya hii ndio code ya street
Verse 2
Niko kwa base na na OG hatuchezi na jokes
Mbao kwa mfuko hatuna time ya kuskiza stori zao
Ukija na vibaya, utarudishwa na mazuna
Mimi si wakupiga show, mimi ni wa kuwa mwelekeo
Ukiniita mtoto wa mjini nitakukumbusha
Nimekulia kwa street na wanangu wa ubavuni
Sahani moja tuna -share, ndoto moja tuna follow
Leo tunavuta moshi, kesho tuna drive range
Oi oi oi
Oya hii ndio code ya street
Street oya hii ndio ya street (×2)
Verse 3
Oya skiza sawa, hii ni kutoka moyoni
Nilipanda kutoka chini, sa tunawalola juu
Mimi ni mchonyi halisi, nimechill na masela
Wasee walisema sitafika wakaona nikapita
Sina time ya drama zako, watuache tusake tonge
Beach ya nyumbani, mchanga ndio cerpet yangu
Kila wimbi linasema jina langu
Ma boiz wako locked, tuna move kama familia
Ukinichezea, utajua CODE haichezewi na kila m2
OVER(×2 echo)
Oya street
Hii ndio code ya street (×3)