Ninge kuwa naneno la zaidi yakusema asante bwana ndilo neno ningali kuambiya kwa wema wako,
Haikuwa kwanguvu zeetu ambassadeur kwaya,Ila nikwanguvu zaako.
Ulipo nitowa Mimi,ulipohh !!!!! nitowa mavumbinii matopeni babahhhh mavumbinii matopeni babahhhh !¡!!!!!!????, aliyanse
Yale umefanya kwangu hakuna awezae kufanya,
Yale umetenda kwangu hakuna awezae kutenda!!
Yaweee umetenda kwangu hakuna awezae kutenda
Yaweee umefanya kwangu hakuna awezae kufanya sayuni kabulungu,
Nakosewa n'a maneno yakusema, naishiya kukwambia ah Asante
Nakosewa n'a maneno, yakusema naishiya kukwambia ah Asante
Nakosewa namatendo yakutenda na amuwa kukwabudu mtakatifu
Asante eeeehh asante eee bwana asante eeeehh asante kavumu twasema asante papa rhugenda banga ana sema asante asante eeeehh BWANA asante eee asante ambassadeur kwaya ina sema asante asante eeeehh BWANA asante eee asante mulindwa anasema asante, BILUGE nae, musaada nayeye piya asante eeeehh asante pasteur Maombi nae ,eeeeeeeeeeeee????!!!!!!! Aliyanse Chasha Nina ishiya kukuambiya, kukuimbia kwa yoote,uzima, Baraka uweza,furaha,kipawa,hudumia, huruma BWANA YESu ahh,, ahah santé . kavumu nyantangwe,njo mahali ya MUKUTANO yanyimbo hii Siku ya MUNGU tarehe kumi nambili mwezi wa sita.aca Ku bisha kwani ma chorale sitafika kama uamusho sebeke,la wa dezanje seka,filemon, Dario basse, Gédéon solo, Emanuel droom, mulindwa, pianiste blaise Amani CIMWANGA ambassadeur choir mwalimu nisso musahada kahama nae, Freddy kutoka bunia,