Maisha yenu ni mimi mafanikio yenu nayatamani Mungu awabariki kwa kila mfanyalo zuri awape imani ya kuwa na subira najua mtani miss sana lakini huu ndio mwongozo wangu kwenu
Yohana nawe Fredy pia dada yenu Nadia
Ni mimi baba yenu Onesmo Deus BUSANGI muupokee na wapenda sana