Mtandao yakijami,rafiki sikiliza usitumie vibaya, usiharibu maisha yako kwa WhatsApp kwa Facebook.. M'être Ndaye Mukunga..-Feruzi Chef kitenge muwape watoto ushauri ili twendeleye mbele hata istgram heshima kwanza ndipo utakuwa salama..pekose kasimu.. katina Frédéric mètre Mbamby chadare. Mkubwa Onze professeurs na institut malela. Una andika maneno kabla huja fikiri unataja majina ya watu bila tahadhari umeweka mapitcha ya mtu bila tahadhari kesho yake ugomvi una anza mitaani kumbuka maneno ya naumiza moyoni :Mitandao yakijami, rafiki sikiliza usitumie vibaya..BIG Audace Abasi kembombe nde lumo djadja koma picha na abari sikila kitu una weza sherekeya vikiria mara mbili kabla huja tuma hewani ukweli ujulikana uogo uepukwa upendo na amani ndiyo vitu vitawale :Mitandao nimzuri usitumika vizuri kuunganisha watoto wa gomu nakuleta habari
.. Bwna simeoni samata..petit sepho..Yuma kasandu..bwana Moloke mabele ya mbongo ,nakuleta habari lakini usitumia kwa chuki una vunja urafiki na kuleta uzuni ..Bakota Bakota Vieux nanga bakwatche lwako, Mitandao yakijami rafiki sikiliza usitumie vibaya usiharibu maisha Kwa WhatsApp na Facebook ata tiktok tumia kwa busard,utaishi kwa amani ..prof Sefu Mange. .papa kibin papa ya penetchoma na Amose mobali ya maman Mwavita na Amina .. bila kusahabu Maman yangu mzazi Maman Mauwa Mwavita Buki maman ni Maman Vieux .. Nouvelle kimaina