NIANZE na salamu hapo vipi
Ama utaniona nazingua
Basi nije kwenye ponti
Ama utaniona boya fala
Hakika BINADAMU haridhiki
sawa unaniona sina maana
Si gari langu akanitoa kwenye kiti(kisa wenye pesa wamekumiliki)
Kwake anaona kawaida(ghalfa tukapotezana)(umenifunza umaskini m baya)
Mara ghafla akatupa penzi langu peponi
Akafanya Nini akanichanganyisha na wengi
Nikafanya vingi ,nikamfumania ata kama tuko ndotoni
Yote Tisa kumi ,niliemfanyia kwani HAONI
Am so hopeless siko fine
Mwenzenu akanionyesha aibu
Kwanza kwa wenzangu wa karibu
Akitangaza DULA Sina adabu
U are so heartless fitina
Mwenzenu anastahili adhabu
Yani Kunichiti na wenzangu
Nami nilikuwa mtulivu(kwako we)(hadharani tena mbele yangu)
Aaaah ntakuwa sawa tu *3
Akaniambia hanipendi (Aty mi sio level yake)
Aliniona huruma
Akaniambia hanitakii(Aty mi sio type yake)
Namchoresha na sura mbaya
Meseji uliotuma nimesoma
Ishara kuachwa nimeona
Japo mwenzako nang'ang'ana
Moyo wangu inasononeka