Nina ujasiri ndani yake Baba
siogopi tena sababu najua
Baba yupo nami muda wote
siko peke yangu Niko na Baba
ninajua kesho yangu ni salama
Iko mikononi mwake
oooh naona utukufu
kwenye maisha yangu
hakuna Giza tena
Nuru yake inaniangazia
neno lake laniongoza
siko peke yangu duuuh
Niko na ujasiri ndani ya Babaaaa
yeye ni ujasiri wangu
ngome yangu
nguvu zangu
haijalishi Nini kipo mbele yangu
Niko na baba