Mupenzi wangu Esther Leo kuna kitu nimemiss mpenzi wangu, Sio penzi lako, wala Uwepo wako Mana najua upo mbali namimi, Lakini Leo Nimemiss tu sauti yako. Una sauti nzuri ambayo sichoki kuisikia masikioni mwangu, na hasa unapotamka maneno haya, "Nakupenda sana jamani, naomba uwe nami siku zote" Ukweli kam Una Mganga, Basi Mwambie aongeze dawa, mana Sitaki Nichoke Kukupenda, Ninacho hitaji nikupe siku zote mupenzi wangu Esther Prosper nakupenda sana namina kuaidi mimi mwisa akalire sita kunja kukutesa ao kukutesa kwenye maisha tetu