Mmmh ai wewe,, Sir _ Jay
Mapenzi,, nimevutiwa hisia, ningeulizwa basi mwenzako mimi singependa,
Mmh siwezii, kusema wala ni sawaa, nina kuvumilia ndani moyoni takumbukaa,
Bridge
Japo yangu hali, naijua we dalii,
Liahidi kupendana, we wangu mliwaza,
Moyo pande la nyama, huguswa likimfika,
Kauli zakosa mana, mekwenda kunyamaza,
Chorus
All. Nionee urumaa aaah,
All. Nionee urumaa aaah,
Sollo. Nionee urumaa aaah,
Sollo. Naumia Sanaa
All. Nionee urumaa aaah,
All. Nionee urumaa aaah,
Sollo. Nionee urumaa aah,
Sollo. Nateseka sana