Neema ya Bwana
intro
verse
Nema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake! Ikwako. Nehema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake, ikwako. Sedrick monga! Ikwako. Iyo nema yake, ikwako.
Kupata kazi !
Ni nema. Ku Pata kaodi, ni nema. Ku owa bibi ! Ni nema. Ku isha journée ! Ni nema. Iyo nema yake ! Ikwako. Nema ya yesu! Ikwako, iyo nehema yake. Ikwako.
Nema ikwako ! Nema ikwako.
Ku isha masomo, ni nema. Ku Pata kazi, ni nema. Kwa congole, ni nema. Kwa Tanzanie, ni nema. Kwa africain ! Ni nema, iyo nema yake ! Ikwako.
Nema ya bwana ! Ikwako. Iyo nema yake ! Ikwako ! Nema ya yesu, ikwako. Iyo nema yake! Ikwako. Sedrick monga, ni nema, kile Wiko! Ni nema.
Kaodi monga, ni nema, kile Wiko! Ni nema. Marcia mambwe, ni nema kile Wiko. Ni nema.
Fatchi béton, ni nema, kile Wiko, ni nema. Maman Deniz ! Ni nema kile Wiko ! Ni nema. Gouverneur kazembe, ni nema, kile Wiko ! Ni neme, général kapende ! Ni nema, kile Wiko, ni nema. Patrick mulande, ni nema, kile Wiko ! Ni nema. Mère de la ville Joyce tunda, ni nema. Kile Wiko ! Ni nema. Ba fonctionner ya leTA, ni nema. Kile mwiko ! Ni nema. Ba jurnaliste, ni nema, kile mwiko ! Ni nema. Taximene kwisha journée ! Ni nema. Aina fasile, ni nema. naku panda chuka, ni nema.
Ku pata capital, ni nema. Ku voyaje naku fika ni nema.
NEHEMA ikingari télé! Dani ya yesu. Uki take kuzala, ingia mu nema! Nema ya Nani! Ya yesu. Unakwa baku Owe! Mu nema ! Nema ya Nani ! Ya yesu. Unata kazi wewe! Munema ! Nema ! Nema ya Nani ! Ya yesu.
Uki taka ku weza viachara ! Ni nema! Nema ya Nani ! Ya yesu. Unataka Nini wewe! Ni nema ! Nema ya Nani ! Ya yesu.
Usi Kate tama yesu ana weza kuku Saidia katika chida zako. Ata kama miaka ina pita bwingi abaku Owen! Yesu ana weza. Ata kama au pâte kazi, yesu ana weza.